Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Uholanzi imefika fainali tatu za kombe la dunia na zote wameishia kupoteza.

Walifanya hivyo mwaka 1974 wakafungwa na Ujeruman Magharibi, mwaka 1978 wakafungwa na Argentina na mwaka 2010 walipofungwa na Spain.
Duh it hurts,VVD na wenzie wajitahid wachukue hata the coming clup world cup 2025
 

Attachments

  • 0ecb7a7f9af4b141448bb17e0bd3b07e.jpg
    0ecb7a7f9af4b141448bb17e0bd3b07e.jpg
    34.1 KB · Views: 2
Yanga wanacheza Dar ambapo ndio makao makuu ya Club yao yalipo

Sasa nashangaa kuona basi la timu limefika uwanjani halafu wachezaji wanashuka wakiwa na mabegi makubwa ya futi 4 hadi 5

Nimebaki najiuliza, kutoka Avic hadi kwa mkapa unabeba mbegi mkubwa kama ule, je siku wakienda Misri hawa itakuwaje?

Au wanabeba tu kama unyamwezi
Mgunda ana jinzi 1 sasa hata akisema abebe begi ataweka nini?
 
Back
Top Bottom