Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mchezaji bora wa mashindano kwa upande wangu
CDA719AB-DD8C-4CE8-B42C-CAFA0DE702EA.jpeg
 
Tukubaliane hakuna forth part. Yaani ni First , Second, Third na washiriki wengine tu. So hapa muarabu ni sawa na muarabu mwenzake wa qatar nothing special.
Wamelipa heshima kubwa sana hili bara kwa hatua waliofika.
 
Kesho mapema tu Ufaransa anabeba kombe kwa mara ya pili mfululizo! Huyo Messi atawekwa mtu kati, kiasi cha kuishia tu kuruka ruka kwa dakika zote 90!
We waache wajisahau baadaye wasianze kulaumu kuwa hawakujua wakati muda huu unaongea wanakuona Joker

Eti wanafanya mazoezi kabisa ya kunyanyua makwapa, we tulia tu...
 
Back
Top Bottom