OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Kesho Furance tuna jambo letu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walivyotaka kujiunga na umoja wa Ulaya hawakujua kama wao wapo Afrika?Sio kweli mmekuza sana mambo... Morocco ipo Africa hawawezi kuibagua Africa.
Vipi maafrika yenyewe yaliangukia pua stage gani?maarabu yameangukia puwa 🤣🤣🤣🤣
watu wanachuki lakini Morocco imejitaidi sanaVipi maafrika yenyewe yaliangukia pua stage gani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Za mbappe ziliisha kabla za messi na wala hatukutangaza
Tulia wewe Yanga wanyamwezi, unawaangalia kwa wasiwasi eeh.Yanga wanacheza Dar ambapo ndio makao makuu ya Club yao yalipo
Sasa nashangaa kuona basi la timu limefika uwanjani halafu wachezaji wanashuka wakiwa na mabegi makubwa ya futi 4 hadi 5
Nimebaki najiuliza, kutoka Avic hadi kwa mkapa unabeba mbegi mkubwa kama ule, je siku wakienda Misri hawa itakuwaje?
Au wanabeba tu kama unyamwezi
Kesho mapema tu Ufaransa anabeba kombe kwa mara ya pili mfululizo! Huyo Messi atawekwa mtu kati, kiasi cha kuishia tu kuruka ruka kwa dakika zote 90!Kesho mtakuwa na kibarua kigumu kumdhibiti Messi na wale viungo wa Argentina.
Mtawakumbuka Pogba na Kante maana hawa walikuwa na mchango mkubwa sana mlipowafunga Argentina 4-3 kule Urusi.
Tate Mkuu Victoire Greatest Of All Time ras jeff kapita Saint Anne
Utakua choko sio bure.
Washamba au mayb kuna tunguli mule[emoji1787]Simba imekwea flight kwenda mwanza na bado wachezaji walikuwa na rasket tu
Nyinyi mnatoka jikoni mnaenda sebleni unabeba begi zito afu kunwa utafikiri unaenda Space??
Where is Morocco, Where is Morocco, Where is Moroccooooooooooo [emoji849]Nilijua tu usingeweza kujibu hata swali moja hapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dahNext level gani?
Mabegi makubwa utafikiri mko space kwenye mission za appolo ndio nini?
Kwa hiyo Mttume Mohamed na Allah wameshindwa kuwasaidia Morocco?
Ndio maana tunasema, dini ni mambo ya kitapeli.
Wakati ujao waende Uarabuni kutafuta nafasi ya kufuzu. Kupitia Bara la Afrika, ni makosa makubwa sana kwao.Sio kweli mmekuza sana mambo... Morocco ipo Africa hawawezi kuibagua Africa.