Leo filimbi ya mwisho itamaliza mvutano..Thy wil prove u wrong! 🤣🤣🤣🤣
Yule jamaa aliyevunjiwa mkataba kule Trafford baada ya yale mahojiano kapata timu kweli............kama vipi aje hata hapa Simba.Mwenye list ya confirmed transfers za player atuwekee hapa plz.
Utakuwa huifahamu Ufaransa wewe! Huyo Messi wako leo atawekwa mfukoni kwa dakika zote 90, na watoto wadogo tu wa miaka 20+!Nyie Wafaransa weusi andaeni leso za kufutia machozi, leo mtalia mpaka macho yavimbe...
Tate Mkuu Scars ukikaidi utapigwa2 Victoire Saint Anne Interlacustrine E 100 others...
Messi anastaafu national team na kombe la dunia...vamosss.. Argentina
Hao madogo watatupa penalty mapema kabisa..😂😂😂Utakuwa huifahamu Ufaransa wewe! Huyo Messi wako leo atawekwa mfukoni kwa dakika zote 90, na watoto wadogo tu wa miaka 20+!
Endelea kuota MkuuNyie Wafaransa weusi andaeni leso za kufutia machozi, leo mtalia mpaka macho yavimbe...
Tate Mkuu Scars ukikaidi utapigwa2 Victoire Saint Anne Interlacustrine E 100 others...
Messi anastaafu national team na kombe la dunia...vamosss.. Argentina
Maendeleo hayana chamaJinsi some french players wanavomhusudu mess(except for mbappè)i naogopa kwel mech ya leo wanaeza tuangusha,nshamchukia dembele i wish asiwepo mxiew
VamossNyie Wafaransa weusi andaeni leso za kufutia machozi, leo mtalia mpaka macho yavimbe...
Tate Mkuu Scars ukikaidi utapigwa2 Victoire Saint Anne Interlacustrine E 100 others...
Messi anastaafu national team na kombe la dunia...vamosss.. Argentina
Jana ndugu zenu wa Morocco wamelala mapema, na leo ni zamu yenu.Hao madogo watatupa penalty mapema kabisa..😂😂😂
[emoji706][emoji706][emoji706]Hizi ni fitna tu... ndo mana wamebebwabebwa tu mpaka wakafika fainali na huyo mluguru wenu ili muje mumpe Kombe la dunia muje mseme ana historia kali sana!
Hili nililijuaga na nikawaambiaga watu mapema sana haki ya mungu... "hii fainali huenda akacheza Argentina na Portugal" wakaona Ronaldo akiingia fainali ataua mtu wakaamua wawatoe kwa fitna wawapeleke hao wahuni na wabaguzi kabambe kutoka amerika kusini! Mpira wa siku hizi ni ushetani na michongo tu all over the world! [emoji17][emoji24]
[emoji35][emoji35][emoji35]Maendeleo hayana chama
No mara waaa(kwa saut ya harmonize),cr7 will always be GOAT,SIIIIUUUUUUUYule jamaa aliyevunjiwa mkataba kule Trafford baada ya yale mahojiano kapata timu kweli............kama vipi aje hata hapa Simba.
Yaniiii dah aseee wacha tusubr miujizaDembele alikuwa anacheza nae Barca. By the way Bora kikosi kazi kingekuwa kimekamilika nisigekuwa na mashaka kabisa.