Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hizi ni fitna tu... ndo mana wamebebwabebwa tu mpaka wakafika fainali na huyo mluguru wenu ili muje mumpe Kombe la dunia muje mseme ana historia kali sana!

Hili nililijuaga na nikawaambiaga watu mapema sana haki ya mungu... "hii fainali huenda akacheza Argentina na Portugal" wakaona Ronaldo akiingia fainali ataua mtu wakaamua wawatoe kwa fitna wawapeleke hao wahuni na wabaguzi kabambe kutoka amerika kusini! Mpira wa siku hizi ni ushetani na michongo tu all over the world! 😔😭
 
1671341515428.png
 
Hizi ni fitna tu... ndo mana wamebebwabebwa tu mpaka wakafika fainali na huyo mluguru wenu ili muje mumpe Kombe la dunia muje mseme ana historia kali sana!

Hili nililijuaga na nikawaambiaga watu mapema sana haki ya mungu... "hii fainali huenda akacheza Argentina na Portugal" wakaona Ronaldo akiingia fainali ataua mtu wakaamua wawatoe kwa fitna wawapeleke hao wahuni na wabaguzi kabambe kutoka amerika kusini! Mpira wa siku hizi ni ushetani na michongo tu all over the world! [emoji17][emoji24]
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
2026 brasil tutakua na kikos bora kabisa lazma ndoo tubebe
FB_IMG_1671346313004.jpg

Hongeren los blancos,dogo is promising.
 
Back
Top Bottom