United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Kakojoa ulale wew uliyefikilia ndio umekuja kuandika utoto wako wa shule ya msingi huo ungekua unatumia akili ungesema dider dischamp kocha mweny uwezo mdogo una akili kweli wew afu unajiona unafikili mbuzi weFanatics wa football mnawendawazimu,husomi kuelewa,kutafakari na kuchanganua..unakurupuka tu,mithili ya mla kuberi, au benjamin wa hiphop mdundiko...Wacha upumbavu wako maramoja.
Afu unajita una akili iyo ada baba Ako angelewa gongo tuYap,Gareth southgate ni moja yangu ya list ya average coach wenye timu nzuri zenye vipaji vingi na vikubwa...Fernando santos- ex-Portugal, hayo manne-average coach anaweza kubebwa na bahati,vipaji wachezaji na ugly football(park the bus,counter attack ya kinyonge) na haswa katika cup competition...
Labda wana nafuu but not fit to playMbona mshkaji wetu Dembele alishasema kawatengenezea chai ya tangawizi wako poa!
Au alikua anatupiga kamba
"I made them honey and ginger tea," Ousmane Dembele gives major update on health of France players ahead of 2022 FIFA World Cup final
Due to illness spurred on by a sickness virus in the French camp, France's Adrien Rabiot and Dayot Upamecano missed the 2022 FIFA World Cup semifinal.firstsportz.com
Hiyo ni LAZIMA,kachek page ya FIFA insta imejaa PESSI tu kuna namna hapoLeo kuna uwezekano mkubwa wapewe penalty ya mchongo
Kabisa make hata kitaa haupigwiKutokana na WC yenyew vibe lake sio kama ya 2018 au 2014 enz za kina shakira
[emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073]
Amka utajikojoleaView attachment 2450785
UTABIRI: Game ya leo jinsi itakavyokuwa [emoji23]
La victoire est nos hornbills FrançaisNinasikia hata Ghana wanatoa hela ili uitwe timu ya Taifa.Cameroun pia hata safari hii kuna
Tumekusikia. Mbappe nae ule upande atatupa penalt.
Na hii ndio price ya kukurupuka na kuleta shobo...Siku nyingine uache shobo ewe average joe.Kakojoa ulale wew uliyefikilia ndio umekuja kuandika utoto wako wa shule ya msingi huo ungekua unatumia akili ungesema dider dischamp kocha mweny uwezo mdogo una akili kweli wew afu unajiona unafikili mbuzi we
mate umentenga sana weweeeArgentina bingwa kumamake
Aujourd'hui, nous devons gagnerLa victoire est nos hornbills Français
Mkuu naona umeamua kuchafua hali ya hewa kabisaLes chèvres sont le souper du verane 😂😂