Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Fanatics wa football mnawendawazimu,husomi kuelewa,kutafakari na kuchanganua..unakurupuka tu,mithili ya mla kuberi, au benjamin wa hiphop mdundiko...Wacha upumbavu wako maramoja.
Kakojoa ulale wew uliyefikilia ndio umekuja kuandika utoto wako wa shule ya msingi huo ungekua unatumia akili ungesema dider dischamp kocha mweny uwezo mdogo una akili kweli wew afu unajiona unafikili mbuzi we
 
Yap,Gareth southgate ni moja yangu ya list ya average coach wenye timu nzuri zenye vipaji vingi na vikubwa...Fernando santos- ex-Portugal, hayo manne-average coach anaweza kubebwa na bahati,vipaji wachezaji na ugly football(park the bus,counter attack ya kinyonge) na haswa katika cup competition...
Afu unajita una akili iyo ada baba Ako angelewa gongo tu
 
IMG_0364.jpg

UTABIRI: Game ya leo jinsi itakavyokuwa [emoji23]
 
Kakojoa ulale wew uliyefikilia ndio umekuja kuandika utoto wako wa shule ya msingi huo ungekua unatumia akili ungesema dider dischamp kocha mweny uwezo mdogo una akili kweli wew afu unajiona unafikili mbuzi we
Na hii ndio price ya kukurupuka na kuleta shobo...Siku nyingine uache shobo ewe average joe.
 
Back
Top Bottom