Utabiri unatimia mkuuMmmmh hii stage kuna mda ji kama wameform umbo kama la jicho la freemason[emoji2088][emoji2088][emoji2088]au naona wenge
Mitoto kama imetoka peponiHuyu manzi aloingia saiv anaitwa nani
Huyu manzi aloingia saiv anaitwa nani
acha wivu awa watoto ni wazuriMiguu yake mibaya
Mkuu si tunadeal na sura au mwongozo umebadirikaMiguu yake mibaya
Utakuwa umelewaMmmmh hii stage kuna mda ji kama wameform umbo kama la jicho la freemason[emoji2088][emoji2088][emoji2088]au naona wenge
Nmeona hii kwa fabrizio kumbe rabiot na upimecano wamoEmiliano Martínez; Molina, Romero, Otamendi, Acuña; Di María, De Paul, Enzo Fernández, Mac Allister; Leo Messi. Julián Álvarez. [emoji1033]
Lloris; Koundé, Varane, Upamecano, Théo Hernandez; Antoine Griezmann, Tchouaméni, Rabiot; Dembélé, Giroud, Mbappé. [emoji1073]
Te escucho cariñoUnataka kihispania, kiitaliano, ama kingine? Maana vyote vinaongeleka Argentina. Subiri tukibeba kombe tutaongea. Niko kuwaombea Argentina kwanza.
Mmmmh nko mancity tayar,KDB9,foden halaand,alvares,walker acha kabisaaaaNjoo gunners kwa mafundi
Mama anaimba bana duuuh nlfkr beyonceMama anaimba vizuri kweli kumbe warabu wanasauti nzuri ivi eheeee Mungu we
wahi usije ukapitwa na utamuSIKUWA HOME NIKO MAHALI NAONA UZUSHI ...NGOJA NRUDI FASTA
NATUMIA DSTV
[emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073]Team France tujuaneee
Nmeskia et davido naye atakuepo nasubr hapaTupo apa tumetulia tunacheki mama wakirabu akitumbuiza