Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,
Kuna abiria tunaotaka tukifika sehem flan gari isimame watu wangalie mechi,

kuna wengine wanasema dereva avute wese tukaangalie kipindi cha pili tukiwa tumefika, na wengine wanasema hamna cha kusimama wala kukimbiza gari, eti "tukifa?" watu wamemaindi, eti mzee mzima unaogopa kufa..? Na ndio mbishi gari zima.

Watu tunapendekeza kura zipigwe, japo wengine bado nalo ni mzozo.
Subirini mrejesho.

BTW mimi Bora nilale njiani, mechi lazima niione.
 
Shuka sasa hivi, usipitwe kabisa pesa kitu gani? Makaratasi tu hayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,
Kuna abiria tunaotaka tukifika sehem flan gari isimame watu wangalie mechi,

kuna wengine wanasema dereva avute wese tukaangalie kipindi cha pili tukiwa tumefika, na wengine wanasema hamna cha kusimama wala kukimbiza gari, eti "tukifa?" watu wamemaindi, eti mzee mzima unaogopa kufa..? Na ndio mbishi gari zima.

Watu tunapendekeza kura zipigwe, japo wengine bado nalo ni mzozo.
Subirini mrejesho.

BTW mimi Bora nilale njiani, mechi lazima niione.
Nyiny mlichagua kusafiri endeleni tu na safari mim ningekua dereva ningechoma mwendo hakuna kusimama Mahali
 
Tupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,
Kuna abiria tunaotaka tukifika sehem flan gari isimame watu wangalie mechi,

kuna wengine wanasema dereva avute wese tukaangalie kipindi cha pili tukiwa tumefika, na wengine wanasema hamna cha kusimama wala kukimbiza gari, eti "tukifa?" watu wamemaindi, eti mzee mzima unaogopa kufa..? Na ndio mbishi gari zima.

Watu tunapendekeza kura zipigwe, japo wengine bado nalo ni mzozo.
Subirini mrejesho.

BTW mimi Bora nilale njiani, mechi lazima niione.
MKUU KAMA WEWE NI ARGENTINA SHUKA UANGALIE GAME NTAKUJAZIA NAULI
 
Tupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,
Kuna abiria tunaotaka tukifika sehem flan gari isimame watu wangalie mechi,

kuna wengine wanasema dereva avute wese tukaangalie kipindi cha pili tukiwa tumefika, na wengine wanasema hamna cha kusimama wala kukimbiza gari, eti "tukifa?" watu wamemaindi, eti mzee mzima unaogopa kufa..? Na ndio mbishi gari zima.

Watu tunapendekeza kura zipigwe, japo wengine bado nalo ni mzozo.
Subirini mrejesho.

BTW mimi Bora nilale njiani, mechi lazima niione.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeanza vile Vituko vyako Best....
Tuache kidogo...
 
Tupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,
Kuna abiria tunaotaka tukifika sehem flan gari isimame watu wangalie mechi,

kuna wengine wanasema dereva avute wese tukaangalie kipindi cha pili tukiwa tumefika, na wengine wanasema hamna cha kusimama wala kukimbiza gari, eti "tukifa?" watu wamemaindi, eti mzee mzima unaogopa kufa..? Na ndio mbishi gari zima.

Watu tunapendekeza kura zipigwe, japo wengine bado nalo ni mzozo.
Subirini mrejesho.

BTW mimi Bora nilale njiani, mechi lazima niione.
Naona mnapigiana kula kuhusu uhai wenu nani afe nani abaki😅😂 natania tu 🤭
 
Back
Top Bottom