Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mie tengo una cosa querida 😜No tengo nada cariño 😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie tengo una cosa querida 😜No tengo nada cariño 😛
Haina tabu, tutakukumbusha.UFARANSA ASIPOCHUKUA KOMBE LA DUNIA LEO SITUMII TENA JF NAACHANA NA YOLLY YOLLY[emoji7] NA NIPIGWE BAN LA MWAKA MZMA
Mnatutenga sis wanamtumboMie tengo una cosa querida [emoji12]
Mbona sjamuona ndo yup pale
We mmatumbi wa wapi?Mnatutenga sis wanamtumbo
hahaha kitu pekee ulichoongea cha maana tangu kombe hili lianzeeSema kukosa final ya kombe la Dunia ni dhambi
woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooServer za jf zishaaanza kuzidiwa kweli Argentina chama kubwa
Ndugu yangu naona mnatema tu sema nin Nitajifunza France,Spanish na ArabicWe mmatumbi wa wapi?
Utajua baada ya mechiBingwa wa kitu gani?
WE ARE FOR THE GOATVamos ARGENTINA
Vamos Rosario.
Vamos Buenos Aires.
Lionel MESSI G.O.A.T
Jifunze lugha ya Mbappe hutalala njaaNdugu yangu naona mnatema tu sema nin Nitajifunza France,Spanish na Arabic
Unakosaje fainali za kombe la Dunia Leo kila Kona ya Dunia ni fainali tuhahaha kitu pekee ulichoongea cha maana tangu kombe hili lianzee
¿cuál?Mie tengo una cosa querida 😜
Sawa mkuu ila andaa lesoUtajua baada ya mechi