Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kuna wazee wapo kuganga mechi TBC wanasema ...Messi atakapowea pasi ya kwanza kuna watu wawili watakuwa tayari pale na kila mmoja ana kazi yake, mmojawapo ni Bizman, huyu anafanya kazi kubwa ya kumuandalia mazingira Messi ili aweze kupenya...🤣