Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Inategemea wamefunga tv gan
Tv nnazozifahamu mimi njia ni tatu tu
1. Antena
2. Sateraiti (Dish)
3. Internet
Kwa mazingira ya safari na hali ya nchi yetu njia zote hizo tatu ni ngumu sana kuangalia mechi nzima bila mazingaombwe hasa ukiwa safarini (kwa njia ya intermet zingatia gharama za bundle na kusuasua kwa mitandao yetu hasa kwa watu wanaosafiri)
 
PENALTYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY
 
Pole kama hujawah ziona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…