United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Na ndio kitakacho waua hichoArgentina wanatumia nguvu sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio kitakacho waua hichoArgentina wanatumia nguvu sn
G kapaisha sana dahKumamaaae tumekosa jamani
Endelea kutunZa comment hiyo mkuuSawa
Tv nnazozifahamu mimi njia ni tatu tuInategemea wamefunga tv gan
Pole kama hujawah zionaTv nnazozifahamu mimi njia ni tatu tu
1. Antena
2. Sateraiti (Dish)
3. Internet
Kwa mazingira ya safari na hali ya nchi yetu njia zote hizo tatu ni ngumu sana kuangalia mechi nzima bila mazingaombwe hasa ukiwa safarini (kwa njia ya intermet zingatia gharama za bundle na kusuasua kwa mitandao yetu hasa kwa watu wanaosafiri)
VEPEEEEE HAPOOOOTutaaa