Iweeee mushaijaaa🤣🤣🤣Kombe la dunia la mchongo
Hakuna penati pale.
VAR ipo kwanini isitumike?
Mashindano ya mchongo, kila kitu kimepangwa
Namaanisha maombi kwa Argentina, nakumbuka yale maombi yako mazitoWEEEE MAOMBI GANIII??ME ARGENTINA OGGGGGG HAPA NAWAOMBEA ARGENTINA
Vyovyote Mwifwa...Hii penati ya mchongo
Kombe la mchongoKombe la dunia la mchongo
Hakuna penati pale.
VAR ipo kwanini isitumike?
Meza maweeeKombe la dunia la mchongo
Hakuna penati pale.
VAR ipo kwanini isitumike?
We mwenyewe umeona ni ya mchongoKama penati ya mchongo basi Zimeni TV mkalale
HAHAHAHAHAHAHAUmeona eh huyo ndo Di Maria. Mtu mwenye nyota na argentina. Umeamini ss
No kamgongaKuguswa mkono tu ndio ujiangushe?
FIFA wamezingua sanaMhmhmhmh penalty ya hovyo mno.
Watulize vitako vyao sasaKama penati ya mchongo basi Zimeni TV mkalale