Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

EEH MUNGU ASANTE KWA USHINDI HUU NA TUNAOMBATULINDIE GOLI ZETU HADI PALE USHINDI UTAKAPOPATIKANA. NAJUA HUSHINDWII
 
Kama kawa mxiew nmeacha na kuangalia inakera sana
Kila mechi lazima waanzishiwe penalty ndo wafunge kawaida

Mtu anapewa penalty tano

Kombe la dunia ni mechi 7 tu unacheza

Jamaa penalty mechi 5 hata shabiki zake wanajua bila hizi penalty Mbuzi asingefika mbali

Mbuzi mwenyewe sasa πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

 
Unadhani kulikua na wafaransa humu? Walikuwepo wapenzi wa Ronaldo ambao walitamani kuona King Messi anaangukia pua!

Bahati mbaya yao, wanashindana na kiumbe asie wa kawaida!
UTUKUFU KWA MUNGU. CHUKI ZAO MBOLEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…