Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
TeamArgentina tuna dk 45 kabla ya kunyanyua kwapa. Tuzidishe maombi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wwTumepiga kelele sana humu Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] ndiye bingwa wa 2022 mijitu mibishi ok ok [emoji108] tuone watasema nini
Mmmmh!!! 🤣🤣🤣🤣🤣Muy cerca 😀
Unadhani kulikua na wafaransa humu? Walikuwepo wapenzi wa Ronaldo ambao walitamani kuona King Messi anaangukia pua!WAFARANSA WAMEPOTEANA HUMU NDANIII
Bado dk 45 za kipind cha pili. Lolote laweza kutokeaKipindi Cha Pili Ufaransa Tukirudi Mtatujua Sisi Ni Akina Nani?
2014 hakucheza ?Yani mm nilivomuona Di Maria tu, nikajua argentina watashinda. Sbb fainali zote ambazo di maria amechezs bas argentina wanashinda.
Game ishaisha hii France washapoteanaNile cha usiku kabisaaaa
Nisije kuwa disappointed mate yakawa machungu, nikashindwa kumeza chakula[emoji126]
Hakucheza fainali, alipata majeruhi.2014 hakucheza ?
Kila mechi lazima waanzishiwe penalty ndo wafunge kawaidaKama kawa mxiew nmeacha na kuangalia inakera sana
Hutaki?Mmmmh!!! 🤣🤣🤣🤣🤣
Shabiki wa Ronaldo huyoScars UKO WAPII
Too late!Di maria tushampatia mbadala wake huko juu, presha tunaipunguza taratibu
UTUKUFU KWA MUNGU. CHUKI ZAO MBOLEAUnadhani kulikua na wafaransa humu? Walikuwepo wapenzi wa Ronaldo ambao walitamani kuona King Messi anaangukia pua!
Bahati mbaya yao, wanashindana na kiumbe asie wa kawaida!
Anajua yule mtuDi Maria msumbufu sana
😛😛😛😛😛😛Hutaki?