ATHUMANI PAZI
Member
- Oct 13, 2022
- 6
- 5
Mkuu acha tu nikupe pole masikiniNipo kwenye hali ngumu sana wazee
Mkeka lazima uchanike huoNipo kwenye hali ngumu sana wazee
subiri mpira dk 90🤣🤣🤣🤣 Mlishapashwa huko.
Mpepewa kombe afu mmeacha watuTumewaachia argentina mmecheza wee mmechoka ndio weusi tunaanza sasa
We em kwendraaaaGame on aisee ufaransa akichukua hili kombe inabidi afungiwe na FIFA. Narudia tena hii ni dharau maana bingwa mtetezi anatakiwa kutoka kwenye hatua za makundi.
We si ulitukmbia wwWoyooooooooooooo
Ni kweli, kila kombe kabeba.Messi ninani wakumfikia hapa Duniani kwa kucheza Mpira je ni kombe gani hajabeba?
Matusi ya nini tena jamaniKumanina zenu mpo wapiiiiii mbappe huyooooo
Yale yale ya higuainNi kama tumepoteana....otamendi ndio kaua sherehe
Messi alikuwa anaangalia ubao wa muda mara nyingi na kusmile, kumbe hajui zimwi linamuwindaHili kosa Argentina wamelirudia. Litawagharimu