Ngoja mechi imalizike boss..Mbappe Top scorer and Best Player.
Kuna jamaa alikua anamuulizia mbappe humuWoyoooo umeona kazi ya mbappe
Mungu ni mwema sanaYaani ungeniona ungefikiri ni mama ake mdogo Mbappe ninavyohangaika huku. Lord pleaseeeeeee🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Dear mie team yangu ilitoka mda sanaa, [emoji629]. Leo nawaangalia nyie mnavyoumizana.Sawa wewe cheka tu
Game wala kombe naona lina tima mashaka sana sion kma tunaweza chukua nimeshakataaa taaaamaapema sanaHuu ndio muda ambao tunahitaji mshikamano here we go again
vamosssssss
Mungu atatenda;Tuzidishe maombi jmn
Watu wana wivu mana he is young,with such young age kaachieve meng had anakua compared na wakulungwa wa miaka na miakaHahahahahah ila Mbappe wewe ndio GOAT umekosa tu fame na fanbase ya kukusifia but ukweli unaonekanaa
AmeeeeenMungu ni mwema sana
Atamtetea Mbappe aendelee kukuza jina 🙌
Hapana auntie usiniangushe ujue sipo kwenye tv endelea ulipoishia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie naomba uniachr kidogo jamani....
Sielewiiiiii
Huyo atakuwa chooni muda huu amejifungia hukoo 😂Kuna jamaa alikua anamuulizia mbappe humu
Nadhani atakua amechukua screenshot yake sasa
Mkata upepoNaona camavinga anamuezea messi sana