Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mungu nimekuita kwa ajili ya Argentina tangu waaibike kwa mechi ya saudi na nikauona ukuu wako. Mungu naomba leo ukajidhihirishe tena ili hata asiyekuamini akuamini. Wapatie Argentina ushindi. Nitarudi hapa baada ya ushindi. Maana Mungu niliyemuita Mungu wa mama yangu hawezi niabisha. Watch and see His greatness
Mungu ana mambo mengi mkuu
 
Upuuzi mtupu,hujui kutofautisha kati ya mtazamo na utabiri ,mnapenda kujipa vyeo amabavyo hamjui misingi yake.
 
Back
Top Bottom