Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mapunye
Kanatapatapa kamehamia ubeki[emoji23][emoji23]
Na ule ushoti kanaruka utadhani mwamvuli wa bango la mpesa unahamishwa
 
Argentina nzima anayejua kucheza ni Messi Peke yake, na Di Maria aliyetoka. Wengine wote wakigusa mpira sina uhakika nao kabisa
 
Wafaransa mmeenda wapi tena, mbona mmekimbia mapema sana?
Kelele zimewaisha eeh? Tuliwaambia hakuna wa kumzuia Messi wala Argentina... Habari mnayo...
Kwa taarifa tu Argentina tuna raha sana 😍😍😍😍😍
Mbona nilikuambia nitakaa siti ya pembeni yako hapa
 
Back
Top Bottom