Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Leo wataishia kurusha shilingi kuamua mshindi, hahhahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbappe ndio mfungaji Bora Goli naneNimesema hapo mwanzo kuwa hii ndo Fainali sasa ambayo wengi walikuwa wakiitaka..!
Timu Messi 3-3 Timu Mbappe
Upuuzi mtupu,hujui kutofautisha kati ya mtazamo na utabiri ,mnapenda kujipa vyeo amabavyo hamjui misingi yake.
Ndio shida hiyoHii mechi jinsi ilivyogeuka, kama Ufaransa wangekuwa hawapoozi baadhi ya nyakati huenda ingekuwa imeisha muda. Tatizo lao wanacheza high na down.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuwe watulivu, na ukininunia nitaku...
...
😁😁 TupoBob sambeke piga kelele Kwa Mbappe tafadhali