Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mbappe ni goat huko kwenu sio duniani.Kwahyo uwo uchafu wenu Messi ndio awe GOAT
Kuwa mzalendo hadi dk ya mwisho mkuu, usimsaliti Messi mapema hiviPenati nawapa nafasi Ufaransa
Yako wapi sasa wewe unayejiita nabii?
KabisaWc ikiiisha UZI HUUU UFUTWE TU HAUNA KAZI TENA
1 Million Dollars odds 2.75. Argentina ashindeKa bet dola ngapi?
Hahaha!!Hayaaaaaa
Muda wa kuminya pumbu na maziwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
SawaKuna mbio fupi na ndefu, labda huyu ni wa fupi. Bado ni utabiri maana penati hazijafika na France hajashinda.
Ingekuwa Argentina kapewa penati mbili sasa, makalio yangeongea hapa.Penati 2
Na GOLDEN BOOTAondoke na mpira wa dunia. What a life memory
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Raha sn, watu watalia leo