The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
9Tabiri wataongeza dakika ngapi? Mimi 7
Mwanga wewe.Tabiri wataongeza dakika ngapi? Mimi 7
Tatu japo jana ulinishinda kwenye bao 6Tabiri wataongeza dakika ngapi? Mimi 7
🤣Huyu Ferras jamani acheni tu. Anasakata kabumbu ni hatareee.
Bora akose Messi,mkuuHapa Ronaldo anakenua tu, itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Ronaldo na fans wake ikitokea Messi kabeba WC.
Ni bora wakose wote tu[emoji23]
Wewe ni falaMwanga wewe.
Saba za nini?
Natabiri 4
we imagine kombe linachezwa kila baada ya miaka 4 siyo uefa tulioizoea kila mwaka l.. wachezaji lazma wakaze argentina amekufa vizuri sitoshangaa france nae yakamkuta kama ya mwenzakeKweli kabisa ...hizi mechi zinakupa matokea ya kukupandisha presha
13Tabiri wataongeza dakika ngapi? Mimi 7
Hahahahahahawe imagine kombe linachezwa kila baada ya miaka 4 siyo uefa tulioizoea kila mwaka l.. wachezaji lazma wakaze argentina amekufa vizuri sitoshangaa france nae yakamkuta kama ya mwenzake
bado france nae lolote linaweza kumkutaNakubali mkuu. Wc hakuna cha mjuaji wala cha nani....kila mtu anaweza. Anything can happen
Na unavyoonekana...utazid wa kimasiharaHuu uzI unaenda spidi kinoma.