BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Dah Argentina mbona wanataka kunizingua aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi world cup uwa siifanyii utani argentina mwaka 2018 ali draw na iceland odd 1.18 toka siku ile wc naitazama kivingine nikitaka kubeti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
4 yellows, hazina ishu sana kulinganisha point 3Hawa mujahidina yellow card sitawagharimu sana
Kweli kabisa ...hizi mechi zinakupa matokea ya kukupandisha preshamimi world cup uwa siifanyii utani argentina mwaka 2018 ali draw na iceland odd 1.18 toka siku ile wc naitazama kivingine nikitaka kubeti
Nakubali mkuu. Wc hakuna cha mjuaji wala cha nani....kila mtu anaweza. Anything can happenmimi world cup uwa siifanyii utani argentina mwaka 2018 ali draw na iceland odd 1.18 toka siku ile wc naitazama kivingine nikitaka kubeti
Hahahahahaha tatu zinatosha4th Official tunaomba iongezwe dakika moja tu.
Hakuna muda uliopotea.
Ndo football hiyo. Jana Bale wa the wales alitafuta penalt na akaipata.Saudia wameanza kupoteza muda
Hapa Ronaldo anakenua tu, itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Ronaldo na fans wake ikitokea Messi kabeba WC.Ronaldo fanya kweli mechi yako ijayo,
Si unaona kinachomkuta mwenzio Messi
Watakaopona ni wale waliofata magoli.Jamani Msaudi akishinda leo wenye kampuni za betting watavuna sana madolali.