princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
kombe la moyoni na la live lipi bora??? kwani alitaka la moyoni??Nashauri...... Huuu uzi ufutweeeeee
Ila Mbappe kapata kombe moyoni mwangu
Mbappe apewe tuzo ya uchezaji bora world cup 2022 maana ni Mtu na nusu kabisa [emoji1787]huyu Mbappe dah
Wala hakuna kitu kama hichoHahahaha saivi bifu la na messi, saivi ronaldo amemwachia mdogo ake mbappe maana yeye hana upepo tena[emoji23][emoji23]
Mtaleta ukoo wenu mzima
Mbappe ni exeception....Mbappe kafunga
Ufaransa sio kama uingerezaWajiandae na vichambo vya kibaguzi
ndoto yake imetimiaMessi anabeba kombe
huyu dogo kanitesa sana leoMbappe apewe tuzo ya uchezaji bora world cup 2022 maana ni Mtu na nusu kabisa [emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Daaa ila watuuWc ikiiisha UZI HUUU UFUTWE TU HAUNA KAZI TENA
Walikua wakipigiwa chapuo toka mashindano hayajaanzaIngekuwa si haki kwa mwanadamu kama Messi kustaafu pasipo kuwa na hii ndoo...isingekuwa haki