Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NoCommentator anauliza
Should it be the best fifa wc ever 🔥
Eti?Huyu Kingsley Coman hakabiki kudadek!!! 💪 Ufaransa wanaweza kumaliza huu mchezo ndani ya hizi dakika 120!!!
Hizo penati mbili wamenyamaza kimyaaa. Wangepata Argentin hadi makalio yangeongea humu.Nimefurahi leo baada ya France kupewa penati mbili hivyo yale maneno yenu ya wivu kwa Messi na penati zake hayatakuwepo tena.
Mungu hatambui wanaochora chora mitatuu, akina Miss hawajui huyo Mungu unayemzungumzia zaidi ya mungu wa dunia hii (Shetani).Mungu wa Ibrahim, wa Isaka na wa Yakobo. Tulianza na wewe Mungu na tunamaliza nawewe Mungu wetu, usiyeshindwa. Hujawahi shindwa, hishindwi na hutokuja kushindwa kamwe.
Umemfanya Messi kuwa bora na leo kawa bora zaidi. Mungu Baba tunasema asante. [emoji120][emoji120][emoji120]
Mbape ana goli 8 Messi ana 7. Kwa hiyo haya kiatu ni cha Mbape.Yeah mfungaji bora MESSI, mchezaji bora MBAPPE. Naona Messi finally kapeleka heshima nchini kwake kwa kuvunja records zaidi ya tatu.
Mimi narudi nyumbani keshoLeo nashinda baa mamaee
Penati za France hazikuwa soft kama zenuNimefurahi leo baada ya France kupewa penati mbili hivyo yale maneno yenu ya wivu kwa Messi na penati zake hayatakuwepo tena.
Hili nililiona, kipa wa argentina yupo vzr. Lkn france wamecheza sn. Mpira umechezwa sn yn. Nimeenkoy soccer leoWafaransa wametuangusha kwenye penati hamna kitu mule
Ilikua ngumu mnoo.i was heart broken but heeeeey here we are....vivaaa ArgentinaHatimaye tumehitimisha safari ngumu tuliyoianza
Cry more.No
Kwa sababu bingwa kabebwa sana na penalty