Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mungu wa Ibrahim
Ninakushukuru sana na sifa na utukufu zikurudie wewe na sio Messi. Amen
Ndugu yangu katika Imani, kama tulivyokubaliana huu ushindi ni kwa utukufu wa Mungu tunayemuabudu. Yesu ni Mkuu Sana.

Ilikuwa ni ngumu ila Mungu kadhihirisha Ukuu wake.

Asante Yesu kwa kujibu maombi yetu.
 
goat.gif
 
DJ walete mashabiki wa ronaldo haha

Utasikia oo ronaldo atabaki kuwa goat mioyoni mwetu siku zote

Sasa hayo mambo ya mioyoni mwenu sisi hayatuhusu sisi tunaangalia rekodi tu kudadadeki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka kwa kuibia sana Dogo....

Niliwaambia....
Messi asilinganishwe na chochote...
 
Back
Top Bottom