Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Unafunga hatrick kwenye fainali na bado hunyanyui kwapa kudadadeki.
Hiki ndio kinachotokea pale ambapo unakuwa mchezaji bora lakini wanaokuzunguka ni hovyo. Limemtokea christian ronaldo na limtokea mbape and lendawoski