Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hapa sasa nipo kwenye mjadala wa kuchukua hela yangu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mungu wa Ibrahim, wa Isaka na wa Yakobo. Tulianza na wewe Mungu na tunamaliza nawewe Mungu wetu, usiyeshindwa. Hujawahi shindwa, hishindwi na hutokuja kushindwa kamwe.
Umemfanya Messi kuwa bora na leo kawa bora zaidi. Mungu Baba tunasema asante. [emoji120][emoji120][emoji120]
Mungu hatambui wanaochora chora mitatuu, akina Miss hawajui huyo Mungu unayemzungumzia zaidi ya mungu wa dunia hii (Shetani).

MAMBO YA WALAWI 19:27 - 28.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
DJ walete mashabiki wa ronaldo haha

Utasikia oo ronaldo atabaki kuwa goat mioyoni mwetu siku zote

Sasa hayo mambo ya mioyoni mwenu sisi hayatuhusu sisi tunaangalia rekodi tu kudadadeki
 
Back
Top Bottom