Yeah mfungaji bora MBAPPE, mchezaji bora MESSI. Naona Messi finally kapeleka heshima nchini kwake kwa kuvunja records zaidi ya tatu.Huyo ndio mchezaji Bora wa mashindano
Tatizo sio mtu mweusiMtu mweusi hawezi penati
Walikua wakipigiwa chapuo toka mashindano hayajaanza
nadhani ilikua hivyo
Hilo linabaki kuwa fact kuwa penalty zake nyingi ni za mchongoWoyooooooo
Hail to the K. I. N. G, G.O.A.T, G. O. D of football Lionel Andres Messi Cuccittini
Sasa tusikie tena kelele zenu za penalty za mchongo sijui nini nini
Nimefurahi leo baada ya France kupewa penati mbili hivyo yale maneno yenu ya wivu kwa Messi na penati zake hayatakuwepo tena.Kiroho safi hongereni