Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ila mpira bwana una mambo mengi sana unaweza jikuta umetoka nje ya mstarii..kuna siku Nakadori sijui ulipanick nini tukakushukia kama mwewe...but mambo yaliisha ukabaki na Argentina yako leo mmechukua ubingwa...kwakweli ulisimama kidete sana nadhani kuitetea na kuiombea...unafanya kama mm inapokuja ishu ya Simba.hahaha
Vamooooooooooooooooos
 
Kiukwl anastahili kuwepo meza moja na Mabingwa wapyaa wa dunia.

Vamoooooooooos [emoji1033]
ila akija sku hyo salamu ni vamooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooosssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
asante mkuu
salamu kwako pia
yani mwaka huu sijafa kwa presha sitakaa nife kwa presha. argentina alijua kutukimbizaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β€¦. Sio kwako tu nahisi watu wengi leo tumepatwa na huu ugonjwa
 
My pleasure
 
Yah ni kweli ila si uliona mechi iliyofata hakuweza chochote
Ila ile mechi na moroco ilifaa aanze kwa ulijendi wake nchini

Anyway watu wana hulka tofauti tofauti
Ni sahihi ni kama de Maria alivyoanza final leo na kuonesha effect na makosa aliyafanya kocha kumtoa
 
hahahahahahahahahahahahahahahhahahaha nimekumbuka ile sikuu na ndo siku brazil walitolewa........... hadi leo Depal tunapitana kama paka na panya.....
world cup imenipatia marafiki aseee
nina zawadi nimeahidiwa kwa ajili ya ushindi wa argentina kutoka kwa member humu shabiki wa argentina
 
ila akija sku hyo salamu ni vamooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooosssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
Tena ilo ndo akumbuke maana navowajua hawa K4S security asiposema tu VAMOOOOOOOOOOOOOS watambeba juu juu kama mamluki[emoji23] kumbe mgen wetu wa muhm.

Asee Kalpana ukifika tu mlangoni Sema neno..

VAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOS tena kwa capital letters vinginevyo hautaingia ndan.

VAMOOOOOOOOOOS NEWWWWWWW REIGNING WORLD CUP CHAMPIONS LA ALBICELESTE [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Yani inamaana unataka kunambia mechi iliisha na Depal bado mnapishana jukwaanii aaaah bwanaa hahaa..mtakutana EPL basi mtabonga...mie huko hunikuti. Auna ww ndo shabiki wa Wedi kapu tuu.
 
Uyu jamaa utabiri wake unaenda kutimia siku ya Leo, mwaka 2015 aliweza kutabiri kombe la dunia kuchezwa December 2022, na messi anaenda kuwa GOATView attachment 2450728
Acheni post ujinga

Nimeshasema hako ka picha ninaweza tengeneza hata ionekane Bibi ako ndo alisema 100yrs ago
Uyu jamaa utabiri wake unaenda kutimia siku ya Leo, mwaka 2015 aliweza kutabiri kombe la dunia kuchezwa December 2022, na messi anaenda kuwa GOATView attachment 2450728
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…