Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Alaaah! Kumbee ndio mana akapata wafuasi wengi?
730D6DE1-6168-4FA5-9B32-E49E822792A5.png
 
We lidada shida yako ni kushabikia mahasimu wa King LEONEL ANDRES MESSI CUCCITTINI. Tofauti na hapo, mpira unaujua. Nimeona comments zako tangia tournament inaanza, uko deep. Kudos!


Huku Buenos Aires, ni shangwe tu. Hatupangiwi muda wa kulala, wala muda wa kuamka!

VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Mabingwa wa dunia najua bado mpo hapa.

Shangwe liendelee jmn mbn kama mmepoa ivi.

The NEWWWWWWW REIGNING WORLD CUP CHAMPIONS LA ALBICELESTE [emoji1033]


Vamoooooooooooooooooooooooooooos [emoji1033]
20221219_001347.jpg
 
kocha wa argentina leo amelia


unajua kila mtu akiwaza zile fedheha za saudi kwa messi na kulinganisha na huu ushindi ndo hasira za furaha zinaziidiiiiii nasemaaaaaa acgeni tujiachie bwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


where is saudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
where is ronaldoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Kwnz ndo alikua kocha mwnyw umr mdg kbs kwny Michuano na ndo kabeba.
 
Jamani aliyepo karibu na huyu mtangazaji wa TBC anayeitwa Nazareth Utepe amuambie atangaze Mpira. Jamaa anatumia muda mwingi kutoa Mipasho tuuuuuuuu hadi inaboa sana . Anatakiwa kuuzungumzia mpira unaochezwa na sio kutumia muda kuzungumzia maoni yake na mibasho.

Msikilizeni mtaona ninachokisema
Sawa
 
Back
Top Bottom