Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

kocha wa argentina leo amelia


unajua kila mtu akiwaza zile fedheha za saudi kwa messi na kulinganisha na huu ushindi ndo hasira za furaha zinaziidiiiiii nasemaaaaaa acgeni tujiachie bwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


where is saudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
where is ronaldoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Mi ni mfuasi wa Papa Fransisco muajentina..hyo kwetu ni kama mambo
 
Hongera Messi na Argentina, Mbappe is the next goat
Asipoenda La liga mapema hii atabakia kuwa kama kina ibrahimovic na lewandoski

Ila sidhan kama anatamani kubeba hizo ballon d or

Huyu bwa mdogo kila weekend anaingiza bilioni TSh24,980,099,219

Pesa chafu sana
Sidhan kama anataka hayo mataji
Maana Madrid walimtaka akawagomea kama angekua anataka hizo mataji nadhan angeenda
 

Where is penaldo?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
He was here
 
Yani inamaana unataka kunambia mechi iliisha na Depal bado mnapishana jukwaanii aaaah bwanaa hahaa..mtakutana EPL basi mtabonga...mie huko hunikuti. Auna ww ndo shabiki wa Wedi kapu tuu.
me mpira wangu worldcup tuuu
halafu ile siku me nlikuwa brazil vizuri tu maana huwa namkubali sana neymar (as alikuwa barc na messi by then) sasa akatokea mdada akasema kwakuwa wamefungwa team nyingine anahamia brazil ndo me nkaandika jaman kumaanisha hajiamini. ndo mkaanza kunizodoa mkizani niko team pinzani. asee nilipanik nikahama na team nikawa naombea mfungwe. ila deep down nlikuwa mwenzenu. ndo maana nkamuuliza depal kwamba namuona mjanja kumbe hana reseach....before nlishapost kwamba niko brazil kwa ile mechi.
anywayssss
huwa sijawahi gombana na mjf zaidi ya kuwa na marafiki..... sina lolote moyoni yalishaisha. naomba na nyie myafute.

vamosssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
Mhhh yaishe yapi mbona mi sikua nayo?? Zile mambo ni kawaida ukiwa mchezoni..mbona mm nagombanaga na watu mwanzo mwisho inategemea na mtu anakujaje baada ya hapo mambo yakua pouwaaa..mpira umeisha tukutane majukwa mengine wale wa simba na yanga turudi zetu nyumbani kumenoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…