Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wewe hufaidi?
Jaman football is beautiful,ni tamu,meeeen kweli mnafaidi.As we come to an end(of WC),I personally would like to thank kila mmoja wenu humu kwenye huu uzi kwa upendo wenu.
Nimejifunza vingi abt football,cnt wait for EPL.
 
Nili screenshot iyo zaga, haya sasa Carrasco putin
IMG_20221219_165529.jpg
 
Nguvu ya nini[emoji16] jinga kweli
Yaaan mashabiki wa argentina ni wengi sana uwanjani kama vile wameshajua kombe wanachukua, hivi watu wanaichukulia poa francee eeh, leo ndio mtaona mpira wa kibabe,... maana france, wana nguvu sio mchezo
 
Hongera zao, nilipenda messi astaafu hivo. Hii iko poa
 
Haya tupe matokeo [emoji16]
Huyu ni mchambuzi mahili wa mipira ya kimataifa....yupo hapo TBC1 usimchukulie poa. Mara nyingi alikuwa akibet anakula mechi nyingi tu hadi wahindi wanamkimbia...

Tuliza tako hapo , ujue nani anapigwa leo
 
Back
Top Bottom