Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ungeweka nyumba
Leo nataka kubeti kwa mara ya kwanza.. ila nataka nibeti kwa Argetina kuchukua wordcup. Je inawezekana kubet atakae nyanyua ndoo.. na sio betting ya magoli au ft yaani nataka nibet kwa atakae beba ndoo.. either by ft, extra time au penalties
 
Wewe hufaidi?
Jaman football is beautiful,ni tamu,meeeen kweli mnafaidi.As we come to an end(of WC),I personally would like to thank kila mmoja wenu humu kwenye huu uzi kwa upendo wenu.
Nimejifunza vingi abt football,cnt wait for EPL.
 
Nguvu ya nini[emoji16] jinga kweli
Yaaan mashabiki wa argentina ni wengi sana uwanjani kama vile wameshajua kombe wanachukua, hivi watu wanaichukulia poa francee eeh, leo ndio mtaona mpira wa kibabe,... maana france, wana nguvu sio mchezo
 
Hongera zao, nilipenda messi astaafu hivo. Hii iko poa
 
Haya tupe matokeo [emoji16]
Huyu ni mchambuzi mahili wa mipira ya kimataifa....yupo hapo TBC1 usimchukulie poa. Mara nyingi alikuwa akibet anakula mechi nyingi tu hadi wahindi wanamkimbia...

Tuliza tako hapo , ujue nani anapigwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…