Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Eti Mbape ndo king pale PSG .... Huku umebana pua... Unajua Messi10 ana magoli mangapi hadii sasa? ana vikombe vingapi hadi sasa, ALAFU ana Miaka mingapi!!!!! ALAFU unakua KUMLINGANISHA na kikojozi wenu mbape, acheni udwanzi na ushabiki maandazi....

Messi10 ni level ya kina Pele, Maradona, Johan Cruyff ... Unawajua hao !???
Ujinga unakusunbua, huna lugha nyingine ya kuandika Hadi useme kikojozi ndio unajiona nafuu
 
Lakini ndio ukweli. Mchezaji yupi katwaa taji mara tatu kama Pele au hamuoni hilo kwa kuwa sio mzungu. Bure kabisa.

Sasa unataka kuanzisha ligi isiyo na maana,hivi kweli unafananisha bahari na bwawa! Messi ni kitu kingine bwana.. ameshinda kila kitu, hebu nipatie tu mchezaji yupi aliechukua makombe kama yote+Ballon d'Or+Man of the match n.k!
 
Aiseeee


FB_IMG_1671521034182.jpg
 
Back
Top Bottom