Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ujinga unakusunbua, huna lugha nyingine ya kuandika Hadi useme kikojozi ndio unajiona nafuu
 
Lakini ndio ukweli. Mchezaji yupi katwaa taji mara tatu kama Pele au hamuoni hilo kwa kuwa sio mzungu. Bure kabisa.

Sasa unataka kuanzisha ligi isiyo na maana,hivi kweli unafananisha bahari na bwawa! Messi ni kitu kingine bwana.. ameshinda kila kitu, hebu nipatie tu mchezaji yupi aliechukua makombe kama yote+Ballon d'Or+Man of the match n.k!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…