Mie mwenzio nipo gizani hapa...nimechokaje mwenzio
Australia amefunga halafu jez zao zina vinyago kama vya yanga sema vinyago vyao ni advancedMie mwenzio nipo gizani hapa...nimechokaje mwenzio
Duh...mapema hivyoAustralia amefunga
Poleee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Australia amefunga halafu jez zao zina vinyago kama vya yanga sema vinyago vyao ni advanced
Poleee
Ona tofauti hapo.Na mechi zinazohusisha Ureno ni kiasi gani cha fedha? Maana kule kuna mtu wa kuchafua hali ya hewa
Mbona umechekaa?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi hawa si ndiyo wamepigwa na Saudia hadi wametangaziwa mapumziko nchini kufurahia ushindi😂Mimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
Hapo kwenye vinyagoMbona umechekaa?
Ndio wenyeweHivi hawa si ndiyo wamepigwa na Saudia hadi wametangaziwa mapumziko nchini kufurahia ushindi😂