Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wakuu mwenye kujua App ya kuonea mechi online( streaming)

Anisaidie link. Nataka nitazamie game ya saa Nne.
Download app ya Football Tv yenye mwonekano huu [emoji116][emoji116] uje unishukuru Chifu.
Screenshot_2022-11-22-21-35-22-84_b783bf344239542886fee7b48fa4b892.jpg
 
Nadhani Chelsea wanajua kudeal na wazee si unaona akina koulibally jorginho silva na kina azpi!
Hao mkuu hawana Cv yoyote ya kukarbia hata ya cr7 hata kwa mbl.. Yan wajue tu wakimleta Ata demand kucheza na hata kama game zngne atacheza vzr lkn anatk kucheza hapo ndo matatz yataanza.
 
Kwa kikosi hiki cha France wakiishia makundi asee ntaamin ile WC curse kwa bingwa mtetez ni htr sana.

France ukiangalia bench wako full mkoko Yan Pa1 na injury zao zote za ivi krbn lkn bd unawaona kbs ni tishio Sana. Ngj tuone ball lina anza sio mda
ila kocha kazingua kumuazisha dembele na Rabiot wazinguaji kinoma wakiwa kweny timu ya taifa
 
ila kocha kazingua kumuazisha dembele na Rabiot wazinguaji kinoma wakiwa kweny timu ya taifa
Yeah sure na kama kuna mtu mwngne ambaye anaweza ifanya ufaransa isifanye vzr hakuna mwngne ni kocha wao Didier Deschamps kawa mpuuz sana Yan nashangaa kwnn FA yao hawakumfukuza kabla ya kombe ili kufika.

Kwnz hata mwnyw anajiharibia tu CV yake ukishinda kombe la Dunia hakuna way up tena bora angestaafu akawa na Legacy nzr tu kua alishinda ubingwa wa Dunia na kuacha team kwa mtu mwngne afanye new project.
 
Back
Top Bottom