Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,039
- 5,560
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila bongo sihamiView attachment 2424392
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila bongo sihamiView attachment 2424392
Mbna hapa kazeeka
Ana miaka 47 mkuu!Mbna hapa kazeeka
Download app ya Football Tv yenye mwonekano huu [emoji116][emoji116] uje unishukuru Chifu.Wakuu mwenye kujua App ya kuonea mechi online( streaming)
Anisaidie link. Nataka nitazamie game ya saa Nne.
Hao mkuu hawana Cv yoyote ya kukarbia hata ya cr7 hata kwa mbl.. Yan wajue tu wakimleta Ata demand kucheza na hata kama game zngne atacheza vzr lkn anatk kucheza hapo ndo matatz yataanza.Nadhani Chelsea wanajua kudeal na wazee si unaona akina koulibally jorginho silva na kina azpi!
Wale madem mashabiki unaowaona huko Qatar wengi wao ni watoto wa Watu wazito na maarufu sana na hata viongozi wakubwa serikaliniAisee ukienda huko inatakiwa ujipange sana.
Walala hoi kama mimi uko hakutufai ata kiduchu
Kwa kikosi hiki cha France wakiishia makundi asee ntaamin ile WC curse kwa bingwa mtetez ni htr sana.
ila kocha kazingua kumuazisha dembele na Rabiot wazinguaji kinoma wakiwa kweny timu ya taifaKwa kikosi hiki cha France wakiishia makundi asee ntaamin ile WC curse kwa bingwa mtetez ni htr sana.
France ukiangalia bench wako full mkoko Yan Pa1 na injury zao zote za ivi krbn lkn bd unawaona kbs ni tishio Sana. Ngj tuone ball lina anza sio mda
Yeah sure na kama kuna mtu mwngne ambaye anaweza ifanya ufaransa isifanye vzr hakuna mwngne ni kocha wao Didier Deschamps kawa mpuuz sana Yan nashangaa kwnn FA yao hawakumfukuza kabla ya kombe ili kufika.ila kocha kazingua kumuazisha dembele na Rabiot wazinguaji kinoma wakiwa kweny timu ya taifa
Ndio. Game 1 tu. Leo game kati Argentina na Saudia tiketi imeuzwa $ 550. Watu wana chapaa bhana.Hyo gharama ni ya mechi moja tu ama
Ndio. Game 1 tu. Leo game kati Argentina na Saudia tiketi imeuzwa $ 550. Watu wana chapaa bhana.