61 nowDk ya ngapi?
kazi iendelee😀Nawasabahi wote
Hilo ndo tatizo mkuu... ujerumani ya sasa sio kama ya zamani , wanafanya uzembe sana goliniYaani hakuna timu hapa. Hawana njaa ya Magoli.
Ngoja tuendelee kuona..
wajerumani wameacha roho zao za kijeruman siku hizi .. muda kama huu brazil alikuwa kafa saba😂Hilo ndo tatizo mkuu... ujerumani ya sasa sio kama ya zamani , wanafanya uzembe sana golini