Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Portugal ndio inaongoza Europe kwa kuwa na Team work Mkuu na wanacheza kiteam sana na ndio sababu ya wao kushinda shinda hizi Euro...hata ile 10th June 2016 walipompiga France 1 hawakuwa na wachezaji wa maana ila Team work ndio anayoitegemea Santos

Halafu ukiondoa enzi ya kina Figo hawajawahi kuwa na Timu iliyokamilika yenye wachezaji wenye majina...at least sasahv

Shida ya Portugal kwa miaka yote ni kutokuwa wachezaji wengi (hawana squad kubwa)

Mfano ukisema umtoe Pepe au Ronaldo sababu ya umri utamweka nani wa uhakika kabisa?
Portugal ile ya 2016 sio hii, hii ina vipaji vingi sema uchezaji wao ndio wa kawaida, yani performance ya Bruno, Bernado, Cancelo sio kama wakiwa vilabu vyao
 
Screenshot_20221123-165859.png

Haya jamani mnaona kwa nini wacchezaji wa wenzetu wanajituma wakiwa timu ya taifa. Sio sie tunasema oh huna uzalendo....hii kazi kama kazi nyingine
 
😂😂😂😂ila hana tatizo na mtu. Endeleeni tu na bet yenu
Hiyo bet imeenda na maji.

Sihitaji kubet na shoga. Kuna nyuzi nimezipitia zinazohusu Ushoga, kakaza shingo kweli kuutetea.

Hapana.. Navunja makubaliano.
 
Musiala anafanya attempt matata sana hapa... huyo dogo ni wonder kid aisee
 
Back
Top Bottom