Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nimejaribu kupitia uzi mwanzo mwisho, ninao washangaa ni wanaosema Argentina watabeba kombe, nikajaribu kuangalia kikosi cha Argentina
Kipa: hakuna world class hapo

Beki: mpaka Otamend anaaanza ujue kuna shida hapo

Viungo, : ni wachezaji wa kawaida sana hakuna WC midfield pale, labda wamuazime chama[emoji1]

Washambuliaji: hapa wanao WC japo wengi jua limezama ambao ni tegemeo.

Hii timu haiwezi kuifunga hata uholanzi.


Portugal: wana majina mengi na talent ila hawachezi kitimu wako hovyo hovyo mbinu hamna

England: Kile kikosi alichoanza nacho vs Iran kinauwezo kufika Fainali

France: hawa nawapa nafasi japo beki inakatika mno

Brazil, mabishoo tuu hao safari yao robo fainal
Portugal ndio inaongoza Europe kwa kuwa na Team work Mkuu na wanacheza kiteam sana na ndio sababu ya wao kushinda shinda hizi Euro...hata ile 10th June 2016 walipompiga France 1 hawakuwa na wachezaji wa maana ila Team work ndio anayoitegemea Santos

Halafu ukiondoa enzi ya kina Figo hawajawahi kuwa na Timu iliyokamilika yenye wachezaji wenye majina...at least sasahv

Shida ya Portugal kwa miaka yote ni kutokuwa wachezaji wengi (hawana squad kubwa)

Mfano ukisema umtoe Pepe au Ronaldo sababu ya umri utamweka nani wa uhakika kabisa?
 
Back
Top Bottom