Wamepigwa na kitu kizito kichwani na waarabu....hahahahahahaaaaMimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepigwa na kitu kizito kichwani na waarabu....hahahahahahaaaaMimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
EeMorroco wanakichfua eee
Hapo tu kwenu wakati nasoma sikuwa naoga maji baridi 😁Weee kumbee 😆 nimeshapajua. Basi hapo sawaaa ukija kwangu utachemshiwa kwny sufuria kubwaaaa.
Kwani ni mbaya? Ina ubaya ganiPlease msikilize mad max achana na betting, tuachie sisi tulioizoea
Dah sasa inabidi tubuni njia mpya za kuweza kuchepuka...maana kama huyu Victoire mumewe hawezi mdanganya kitu kabisaSiku hz wadada weng ni wapenz wa mpira
0-0 dk ya 56 na sekunde 10Jamani mnaoangalia mech, mtupe matokeo
Bila bila hapa naona timu za africa zimeamia kuwa ngumu kufungika...tatizo sioni watapataje magoli.Jamani mnaoangalia mech, mtupe matokeo
Njoo nikufundishe FOREXKwani ni mbaya? Ina ubaya gani
Forex sitakiii 🤣Njoo nikufundishe FOREX
Forex sitakiii 🤣
Hii o1.5 sioni ikitokea hapaHadi sasa timu za Afrika hazijafunga goli lolote lile
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
NdioUNATAKA KUBET
KILA LA HERI...MIMI KUBET SIJUI AISEE NINGEKUFUNDISHANdio
Viten ten vya football
😂😂😂Dah sasa inabidi tubuni njia mpya za kuweza kuchepuka...maana kama huyu Victoire mumewe hawezi mdanganya kitu kabisa