Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

@Selikavu kbs tatz la Cyprus TV matangazo kama yote.. Sema ngj nije nitafute na iyo yako mkuu nione ikoje.

Maana Tanesco wameapa tukiangalia game zote 64 wako pale HQ wamekaa[emoji23]
 
78'

Ujerumani wana dakika takriban 12 za kufanya jambo. Ila si kwa kupoteza nafasi wazi namna hii.
 
@Selikavu kbs tatz la Cyprus TV matangazo kama yote.. Sema ngj nije nitafute na iyo yako mkuu nione ikoje.

Maana Tanesco wameapa tukiangalia game zote 64 wako pale HQ wamekaa[emoji23]

ya kwanza hapo juu mkuu ipo vizuri muda wa gemu unaenda kwenye live event pemben unakuta gemu ipo inakungojea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…