Mhindi anashangilia tuu... muda wa kuzima data umefika.. maana simba kadraw.. mtandaoni hapatamaniki tenaKama ambavyo Muhindi jana alizikusanya, leo kafanya hivyo pia.
Baki njia kuuMm nina timu moja tuu
Mkuu embu tuma na picha ya hiyo app kabisa kama hutojaliWale wa kustream nimepata kaapp playstore.. kwaNza nianze kwa kumshukuru mkuu Franklin1902 aliasuggest nitumie CYPRUS tv.. nilitumia japo ina ads nyingi sanaa na kuna kaugumu kidogo kutokana na lugha.. but nimepata hii app playstore inaiTwa tilfizyun yasin tv ipo vizuri ina kipengele Cha live event muda wa gemu unaikuta tu hapo unachek naomba kuwasilisha
unabetia Ngumi nini mkuu ukishindwa aliyekufelisha kaumia😀Ndio maana niliachana betting ya football
Ulaji wa MB ukojeView attachment 2425215
ya kwanza hapo juu mkuu ipo vizuri muda wa gemu unaenda kwenye live event pemben unakuta gemu ipo inakungojea
Imechanwaaa misamba 🤸mikeka leo huko😎
Umecheza kama Pele mzeeView attachment 2425215
ya kwanza hapo juu mkuu ipo vizuri muda wa gemu unaenda kwenye live event pemben unakuta gemu ipo inakungojea
Nakusema kwa dada mkubwa unabet 😒Leo naenda jipongeza maana Jp na Mbeya wamenifurahisha.
Mkuu mbs zinaenda haswaa sio uongo kumaliza mechi yote natumia more than Gb 1 kama na mbs 100 au 200Ulaji wa MB ukoje
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakusema kwa dada mkubwa unabet 😒