Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Referee kawapendea dakika 7 za nyongeza.

Tuone watafanya nini
 
Wale wa kustream nimepata kaapp playstore.. kwaNza nianze kwa kumshukuru mkuu Franklin1902 aliasuggest nitumie CYPRUS tv.. nilitumia japo ina ads nyingi sanaa na kuna kaugumu kidogo kutokana na lugha.. but nimepata hii app playstore inaiTwa tilfizyun yasin tv ipo vizuri ina kipengele Cha live event muda wa gemu unaikuta tu hapo unachek naomba kuwasilisha
Mkuu embu tuma na picha ya hiyo app kabisa kama hutojali
 
[emoji16]
IMG_20221123_175429.jpg
 
Back
Top Bottom