Pamoja na koswa koswa hizi lakini bado Belgium unawapa advantage?Canada hachomoki leo
Alphonso Davies beki 3 wa kutegemewa pale FC Bayern Munich.Kuna michezaji sijui inacheza timu gani
Kama huyu alokosa penarty hamna kabisa
Huko ndio kubet. Imagine nimeweka 20,000 matokeo yakitiki napata 28,000/=Red for lifeee beib😂😂🤸
Ila wanapelekewa motoNina Imani na Belgium
IN SHAA ALLAAHNaisubiria kwa hamu mechi ya Ghana
Mkuu bado mapema hawa Canada wanaishiwa pumzi soonPamoja na koswa koswa hizi lakini bado Belgium unawapa advantage?
Wasamehe ni wakimbizi wenzetu
Msalimie kipara[emoji16].Wengine tuko gizani...dah kweli hali ni mbaya!
Kipa mzoefu yule keshakwepa mishale mingiBelgium wakitoka wamshukuru kipa wao
Nilikuwa naangalia huku nimejilaza kwa zulia 😺Red for life..pole aisee unachoka ee au umeme kama kawa
Yakikataa jee 🙃 unaliwa 🤭Huko ndio kubet. Imagine nimeweka 20,000 matokeo yakitiki napata 28,000/=
Sana
Jini limetoa penati
Lile la Senegal pamoja ya uzoefu ila mbona aliwachomesha wenzieKipa mzoefu yule keshakwepa mishale mingi
Ngoja tutaona, isije ikatokea ya Argentina hapaMkuu bado mapema hawa Canada wanaishiwa pumzi soon
Watu tunataka weka helaWasamehe ni wakimbizi wenzetu