Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Huyu refa kapewaje kuchezesha hii mechi? 😡
20221123_222617.jpg
 
Naona hii mechi inakosa ubunifu kwenye eneo la ushambulizi kwa timu zote yaan Belgium na Canada
 
Shida ya hawa Canada kila mmoja anataka kufunga, hizi golden chances wanazopoteza kwa ubinafsi wao hawatazipata muda wote.

Wachezaji wanawaza ushujaa wa kipumbavu, acha wafungwe tu.
 
Back
Top Bottom