Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Atakua ana watu sio bure[emoji23]Huyu refa kapewaje kuchezesha hii mechi? [emoji35]View attachment 2425446
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua ana watu sio bure[emoji23]Huyu refa kapewaje kuchezesha hii mechi? [emoji35]View attachment 2425446
Mi ndio nimetia mzigo now kwa Canada nachokonoa meno tu na toothstick hapaKuna muda unakaa, unajiona mjinga.
Najitafakari, nilimpaje Belgium? Yaani ni pressure tupu.
Sitisha muhamala kabla muhindi hajaitoaNilitia 2 - 1
Hapana. Muhindi mtu poa sana anakurudishia 20k yako.Yakikataa jee 🙃 unaliwa 🤭
Hahaa imekataa hahaha...Sitisha muhamala kabla muhindi hajaitoa
Wajanja sana..Unaweza cash out upate amani ya muda😂
Hivi huwa hamna sub za marefa?
Ukiweka shingapi anakurudishia hiyo 20K?Hapana. Muhindi mtu poa sana anakurudishia 20k yako.
[emoji1787]Canada wakifika box ya Belgium wanakuwa Ihefu FC
Sijawahi shuhudia, ila ikitokea tatizo 4th official huingia kuwa mmoja wa refsHivi huwa hamna sub za marefa?
Hahaha mwache aweke aliwe uyooo.. Muhindi akurudishie hela? 🤣🤣Ukiweka shingapi anakurudishia hiyo 20K?
Zipo...fourth official anainhia kama refa anashindwa endeleaHivi huwa hamna sub za marefa?
Alphonso anaweza wa cost wenzake kukosa Penalty.. Ingewapa moral zaid kupambana.Hawa Canada aseeeh, si wafunge[emoji51]
Nami nitaka nianze kumshangaa tangu lini kanjibai akafanya kazi ya kanisa?Hahaha mwache aweke aliwe uyooo.. Muhindi akurudishie hela? 🤣🤣